8 abibu, 6
Somo :- Kituo cha Ufahamu kabla ya wazo la Mungu kumuumba Kerubi.
Wakili wa Mungu Awali akijenga msingi wa ibada hiyo amesimamisha sadaka maalumu ya Kuteketeza na kufuta kabisa aibu ya aina yoyote.
Amesema sasa ni majira ya kuweka maarifa ya Neno kinywani maana kanisa sasa tumefunuliwa kuwa ni makuhani/ mjumbe wa Bwana.
Majira ya kizazi cha Mungu imefika hivyo hata kama Miaka1000 (au yoyote) atake asitake lakini ilikuwa ni lazima zaidi ya 1 Kor 15:25-28.
Amesema hakuna mwenye nguvu ya kuzuia kizazi cha Mungu.
Haina maana MUNGU alishindwa kuacha kumuumba kerubi hapana Bali alitaka kutupa Somo sisi tutakaoishi kwenye kizazi chake, kwamba yeye Ana nguvu kiasi gani.
Audio clip 0620719507
No comments:
Post a Comment