22 abibu, 6
Somo :- SIKU 7 ZA KUINUA HUDUMA YA MUNGU JUU NA KUFUTA HUDUMA ZOTE ZA KISHETANI (22-28 ABIBU, 6)
Kwa toba ya leo huduma ni moja kama vile Kanisa lilivyo ni moja kwani huduma zingine zilizuia huduma ya Mungu kusimama.
Damu za watoto waliouawa kwa kumsaka Musa kwa agizo la farao na Damu za watoto waliouawa wakati wa kumsaka Yesu zilikuwa bado zinapiga kelele kuua huduma za wenye haki.
Akijenga msingi wa ibada hiyo Wakili wa Mungu amesimamisha TOBA YAKUFUNGUA LANGO KUU LA TAIFA LA MUNGU.
Uhalisi wa Isaya 60:11 - 14 kwamba Bandari ni lango kuu ni lazima walete vitu vizuri ili wapambe taifa.
sadaka maalumu ya kutengwa na uovu wa kila aina Ebr8:12, 2 Kor 6:17-18.
Umasikini, ufukara, magonjwa, vilio ni uovu tumetengwa nao milele.
Chochote ulichowahi kukiona kibaya kinaishia ktk sadaka maalumu ya leo maana Agano jipya sasa ni halisia.
Karibu usikilize kwa upendo uhame vituo vya ufahamu ufunguliwe kila eneo.
No comments:
Post a Comment