Showing posts with label Mafuta ya kukamilisha kizazi cha Mungu.. Show all posts
Showing posts with label Mafuta ya kukamilisha kizazi cha Mungu.. Show all posts

Thursday, 29 September 2016

23 adari, 5
SOMO:- Mafuta ya kukamilisha kizazi cha Mungu.


Wakili wa Mungu Amesema amepakwa mafuta ya kukamilisha kizazi cha Mungu.
AMBAPO KTK IBADA HII utamsikia Wakili wa Mungu akifafanua sababu tano za Mungu kurudisha kizazi chake mwenyewe KIPINDI hiki.
Nakusema sababu kubwa ni kurejesha kizazi chake mwenyewe.
Pia ktk ibada hiyo amesimamisha sadaka maalumu ya kufuta na kuteketeza kabisa tabia ya waovu kuingia ndani ya mwingine na kuongea badala ya muhusika halisi.

Karibu usikilize kwa upendo uhame vituo.

Video clip ipo YOUTUBE @WAZOLAKWANZA