17ABU6
*THAMANI NA FAIDA YA MUNGU ALIYETUMA WOTE VIZAZI VYOTE KUFUTA MWANZO MBAYA ULIOKUWEPO VILIVYOKUWEPO NA VIZAZI VILIVYOPITA*
Kabla ya Wakili wa MUNGU kufika Mtendaji wa Wakili wa MUNGU alituelekeza kuwa,
Kulikuwepo na mwanzo mgumu uliokuwa unasababisha wenye haki kutofanikiwa na kisha matunda ao mafanikio kufaidi waovu.
Na kulikuwa na mwanzo mbaya kwa wenye haki na kumaliza vibaya.
Leo ni mwisho wa kuanzia mahali pagumu [birikani] jangwa ukiwa nk MWANZO 37:, MWANZO 47:1-
Hakuna mwenye haki aliyewahi kufaidi matunda ya kazi zake
1FALME 3:11 Sulemani alianza kwa kutapeliwa nafasi yake na adonia.
1FALME 4:22 hii inaonesha jinsi MUNGU alivyokuwa amempa utajiri mwingi sulemani.
1FALME 5:1 waovu wakaanza kufahamu/ kujua njia za wenye haki, aliwaambia kila kitu alichokuwa amepewa na MUNGU.
Mwenye haki Kufanya maelewano na waovu, mikataba na agano na waovu.
Kwani kufanya maelewano na asiyeamini ni sawa na kufanya agano na shetani.
1FALME 11:1- binti za wafalme waligeuza moyo wa sulemani, muovu kuwa na ramani ya mwenye haki.
Hivyo leo kufanya kipindi kubwa halafu wanafaidi waovu tunabomoa.
MUNGU tena ananinasua kwenye kituo hicho na mtego huo.
Leo tumepata jeshi la mwanzo malidadi linalotupa mwanzo mzuri,
Kuna majeshi ya watu yaliyoandaliwa na waovu ni kama lile jeshi lililompata sulemani ya waovu ni mabinti wazuri.
Tiro aliandaliwa kwa kusudi la kuharibu maisha ya sulemani.
Kila kitu cha mwenye haki kilikuwa kimetanguliwa na utangulizi mbaya.
WAKILI WA MUNGU
Akili mpya tumepewa, utendaji mpya, na mfumo mpya wa thamani na faida.
Akili mpya tuliyopewa ni ya kuangalia mbele tu!
Usikubali kugeuka nyuma, kusikiliza taarifa mbaya, kukatishwa tamaa na jambo lolote.
Nimepanda gari isiyokuwa na gia ya revasi.
Unaweza kwenda uholanzi kuhubiri utakutana na utaona walio uchi wewe angalia mbele ndio akili mpya.
Kwa kuwa sasa tuna mfumo mmoja kanisa moja mchungaji mmoja sisi sote tunafanana.
Mwambie MUNGU mfumo huo nimeupokea nataka unipe thamani.
Zaburi 99 BWANA anatamalaki maana mtendaji ni mmoja tu ni MUNGU mwenyewe.
Sasa kuanza vibaya na kumaliza kwa wenye haki kumeunguzwa vibaya.
Aidha Wakili wa MUNGU ameongoza wenye haki kutoa Sadaka Maalumu ya kupokea akili, mfumo, utendaji mpya wa MUNGU mwenyewe.
Leo ninafuraha kubwa mno kwa kuwa kilichokuwa kinazuia MUNGU kujulikana ni zile akili zilizokuwepo za theology, falsafa, saikolojia.
Hazipo tenana7
Pia mfumo uliokuwepo ulikuwa haumpi mwenye haki kuonekana lakini sasa kila utakapokuwa ataonekana MUNGU mwenyewe, ukiongea ataongea MUNGU mwenyewe.
Na utendaji sasa hv ni wa MUNGU mwenyewe sasa ni mwisho wa kujiona huna thamani, kujidharau.
Hapa hapa tulipo kuna wanaolaani na kuna wanaosikia kuumwa kipanda uso ni kutokana na powerchafu wengine leo ni mwisho anaungulia hapa kwa sadaka hii.
Uchawi chuma ulete zinaungulia hapa!
Acha taarifa masengenyo ili uchujwe na chujio la haki.
Faida na thamani ya kufutwa kwa mwanzo wa uharibifu tunayoipata ni:-
MUNGU amefuta mfanano , mbadala wa vizazi vilivyopita kwenye kizazi chake. UFUNUO 20:1
# UFUNUO 21:3 pamoja na sisi kuwa ni heri na ni watakatifu lakini maskani ya MUNGU ilikuwa katikati ya wanadamu.
# WAFILIPI 4:16-19 + WARUMI 2:9-10 ilikuwabado inatukamata. Walijenga mashirika ya misaada.
# Yesu ni jina lipitalo majina yote. Sasa amekuja mwenyewe.
Utii ISAYA 1:19 hatuna utii ila wanaotii ndio wanakula mema ya nchi.
Muislam akiambiwa usije bila kanzu na kofia, baibui anatii.
Lakini nimesema kila mmoja ajenge madhabahu ya kufuta uzee kwa kutoa sadaka ktk kituo cha *Jambo jipya kule kwa Kuhani fahari ya Bwana* hamjatoa je huo ni utii?
Jambo ambalo ni kwa faida binafsi.
Akili ya MUNGU haina revas ni mbele kwa mbele.
Mji mtakatifu. Tungeishia kuimba na kucheza wala huo mji mtakatifu tusingeuona bila hu mwanzo mbaya kufutwa mwanzo wa uharibifu kufutwa.
Na mfumo wa akili, mfumo na utendaji wa mabaya kufutwa kabisa. Sasa DANIEL 2:44 imetimia.
ISAYA 2:2 tungeisikilizia kwenye radio lakini sasa ni halisi kwani ni lazima waje.
Karibu usikilize uhame vituo na kupokea thamani na faida ya MUNGU Aliyetuma wote vizazi vyote kufuta mwanzo mbaya uliokuwepo na vizazi vilivyokuwepo………….
No comments:
Post a Comment