25 Abibu, 6
Somo:- KUSIMAMISHA MAJIRA NA NYAKATI ZA SHAMBA L A MUNGU ALIYETUMA WOTE LENYE MBEGU NJEMA PEKE YAKE MILELE.
Awali akijenga msingi Wa ibada hiyo Wakili Wa MUNGU amesimamisha Sadaka maalumu ya kila Mwenye Haki kufunuliwa kuwa Panga La Mungu luka19:27 c/o Hosea 2:19.
Yaani Kwa sadaka ya Leo kanisa lote tumefunuliwa kuwa luka19:27 Na kuvunjika kabisa rasmi Agano LA ngano Na magugu kuota pamoja!!!! Ktk vizazi vyote vya kanisa kulikuwa Na kituo cha kupanda Na kushuka, lakini sababu kubwa ni magugu bado yalikuwepo yakiizonga mbegu njema!!!
Majira ya kung'oa magugu ilikuwa bado Na ukifanya kitu kabda ya majira ya Mungu ananyamaza Mt 13:24.
Hivyo ni Neema kubwa kuishi ktk kipindi hiki cha Mungu mwenyewe.
Aidha Wakili Wa Mungu amezitaja tabia mbalimbali zilizokuwa zikichafua kanisa huko nje:-
(a) kushtakiana1 kor 6:2
(b.) Kulipa kisasi maana kisasi ni cha Bwana. War 12:19-21.
(C.) Kuwafukuza wanaokoka.
(D.) Mdo13:6 kufuta Neno LA Ufunuo.
(E) manung'uniko Na kuona kama Mungu anachelewa. Kut 16:1-
(F) kumtangulia Mungu wakati Mungu ana majira yake ilikufanya kila kitu.
(g.) Kumwibia Mungu.
Nb:-
Ukiwa mbegu njema ya Mungu unahudumiwa Na Mungu mwenyewe.
Karibu usikilize ili ubarikiwe.