2 zivu, 6
Somo:- SIFA ZA MUNGU ALIYETUMA WOTE VIZAZI VYOTE.
WAKILI wa Mungu leo amefunua sifa zaidi ya 22 ZA MUNGU ALIYETUMA WOTE VIZAZI VYOTE na kusema kuwa majira imefika ambapo miungu yote imekwisha angamizwa kwani sasa MUNGU ni moja tu Aliyetuma wote vizazi vyote.
Alianza ibada hiyo Kwa toba ya kina Kwa kuliongoza Kanisa zima ya kufuta roho ya miungu ndani ya Kanisa kutokana na waliokalia kiti cha Mungu Yosh7:1
Lakini awali akijenga msingi wa ibada hiyo alisimamisha Sadaka maalum ya kupendelewa na Mungu Aliyetuma wote vizazi vyote kwani 1petro 1:10-12 manabii walitafuta kujua haya yatakuwa lini wakafunuliwa si kwao bali kwaajili yetu kizazi cha Mungu.
War 2:11 inasema Mungu hana upendeleo lakini Kwa Wakili wa Mungu na Kwa Kizazi cha Mungu tumependelewa.
Hatahivyo atangaza tarehe rasmi ya kukabidhi jengo la wodi ya kufunulia watoto tuliyojenga ktk jiji la Kristo kigoma zamani kuwa Itakuwa 14 zivu, 6 tuwe tumefika huko.
Nauli ni 100,000/- kwenda na kurudi na vyumba vya kulala ni kuanzia 10, 000/- hadi 20,000/-kwa chumba.
Hata hivyo bado hazina 5 zinahitajika ilikukamilisha milango na madilisha ya jengo hilo hivyo tunatakiwa kuchangia haraka iwezekanavyo ilitufanikishe.
Karibu uhame kituo