12 abibu, 6
Somo :- Mafuta ya kila mwenye haki kuwa Barua inayosomeka vizuri ndani ya kanisa, taifa na mataifa.
Wakili wa Mungu akihitimisha ibada hiyo amesimamisha sadaka maalumu ya mwenye haki kusomeka vizuri kwenye Uumbaji wote.
Aidha amefunua mambo 15 yatakayosababisha kanisa tusomeke kama barua nzuri.
1.) Kutambua aliyebeba Mafuta. Nakusema aliyebeba Mafuta sio rafiki yako, mjomba wako wala binamu yako.
2.) Kuambatana naye Aliyebeba Mafuta. 1nyak 11:1-2 Amesema kumtambua aliyebeba Mafuta hakuna mtihani ila mtihani upo ktk kuambatana nae.
3.) Isaya 61:6 unyenyekevu. Kama huna unyenyekevu Mungu hawezi kwenda na wewe.
4.) Isaya 1:19 ilikula mema ya nchi lazima Uwe na UTII.
5.) Kutembea na Neno la madhabahuni kumb 12:5-7
6.) Kukubali kujaa shukrani majira na nyakati zote Dan6:10
7.) Upendo war 5:3-5
8.) Kukubali kujifunza kwa aliyebeba Mafuta. Ebra6:12.
9.) Kuwa na hakika ya Neno Isaya 55 : 11
10.) Uwe mtoaji kama Mungu mwenyewe alivyo mtoaji Mdo 20:15
11.) Lazima kulitendea kazi Neno
12.) Kukubali yeyote ambaye ni kusudi la Mungu. 1wath 5:15.
13.) Lazima umwinue mwingine unaposikia amepatwa na shida. Mith 24:17.
14.) Kumwacha Mungu afanye sio wewe maana ndiye anayetumiliki. 1 Kor 15 : 25-28.
15.) Kuwa na Akiba njema ndani ya moyo wako. Mt 12:32-33.
Wakili wa Mungu alihitimisha ufunuo huo Kwakusema ktk hayo yote yanabebwa na Neno 1 la kuwa MWAMINIFU. LUk17: