Somo:AMRI MOJA HALISI.
Wakili alianza kwa kymshukuru Mungu kwamba Dan 2:35-44 imetimia ,
Zaidi sana alisema naanza kwa kusoma Zaburi 114:1-6
Kwa amri mmoja
1.Bahari itakimbia kwetu
2.Yordan imefutwa kabisa
3.milima lazima iruke kama kondoo waume
4.Nchi lazima itetemeke
5.vilima lazima viruke
6.miamba yote imesagika na kuwa ziwa LA maji
7.Jiwe gumu kuwa chem chem
KITUO HIKI ni cha AMRI MOJA HALISI
Mabaya yote Leo ni mwisho mwisho
MAMBO YA KUSIMAMISHA SHUKRAN:na kufuta kabisa
1.Mataifa yote yaliapa kuwa Dan 2:35-44 haiwezi kutokea Goshen
2.sadaka mbali mbali zimetokea ili isay 2 2 isitimie
3.viapo na makufuru vimetamkwa kwa Taifa na kanisa wasifanye Kazi pamoja yaani math 21: 41-43 isitimie
4.kulikuwa na hila za kila namna kuwa kanisa LA kweli halitakubalika kamwe Goshen ingawa limetokea hapo
5.saini mbali mbali za kuzuia kanisa LA kweli kupokelewa
6.uumbaji wote kusainishwa kiunajimu kuwa usikubali kanisa wala Wakili wa Mungu
7.Mashindano makuu na Mungu ndani na NNE
ANza shukrani sasa .
Leo umbo LA kerubi Leo limefutwa kabisa
Na maumbo ya kila aina .
Futa na wew hayo yote kwa shukrani
No comments:
Post a Comment